Monday, 29 July 2013

KONGAMANO KONGAMANO KONGAMANO

"Habari za leo! kamati ya uongozi ya wazeee Jukwaa la maendeleo mkoa wa Rukwa, kwene kikao cha
tarehe 14 July Iliahilisha Mkutano wa wanarukwa wote waishio DSM, PWANI NA MOROGORO.hivyo utafanika tarehe tarehe 1 sep 2013 sa nne asubuhinukumi wa URAFIKI SOCIAL HALL DSM (mamba) nyuma ya national housing  urafiki /shekilango. Mkuu wa mkoa Mh Stella Manyanya pia amearikwa awepo .Agenda kuu ni rasilimali za mkoa kwa maendeleo, na mchakokato wa Rukwa universit. usikose Tuunganushe nguvu zetu kuujenga Mkoa wetu "JUMARU, kwa rukwa endelevu pamoja tuanaaweza"
limetolewana 
sekretariate JUMARU