#Ndugu wanajumaru Sekretariate ya jumaru ipo katika mandalizi ya Kongamao la tarehe 1/9/2013 Dar es salaam. Tunaombeni ushirikiano wenu wa hali na mali kwani mawazo yenu ni ya muhimu sana,pia msisahau kupitia matangazo mbalimbali ya vyombo vya habari kama vile Radio (wapo Radio 98.1 Fm) na magazeti ya Majira,Tanzania Daima n.k mara tu mpatapo habari.Mwisho napenda kuwaomba wale ambao mnawajua wasanii wa mkoa tuanaomba uwasilishe kwa page yetu ya www facebook/regnard siyame,au 0757230097'
"for sustainable developments together we can"
No comments:
Post a Comment
regnard