Friday, 27 December 2013

MCHAKATO SASA UMEANZA RUKWA RUKA NA CHUO KIKUU!!!!!!

Mwaombeni Mkwayi!!Ndugu wadau wa maendeleoya Mkoa wa Rukwa na Taifa kwa ujumla, Mwenyekiti wa JUMARU Taifa Bibi Helena Khamsini amefanya uteuzi wa wazee kwa ajili ya kudhuria kikao katika Ukumbi wa Mbizi forest Kesho Jumamosi tarehe 28/12/2103, Jioni Muda wa saa kumi ili kujadili ziara ya kwenda sehemu ambazo zimeonelewa na zimeahidiwa na baadhi ya wamiliki wa maeneo hayo kwa ajili ya kujenga CHUO KIKUU CHA RUKWA.Ziara hio inategemewa kuwa  katika maeneo ya   ISESA NA PITO . Wahusika  walioteuliwa ni pamoja na ; Mama Khamsini
Bibi Helena Khamsini Kulia akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Katiba ya JUMARU
Mzee Kinunda wa kwanza kushoto, Mama Mfupe anaefuata na Mzee Kimiti.
(Mwenyekiti JUMARU taifa),Mama Michese (Makamu Mwenyekiti JUMARU taifa) ,Kinunda (Mwenyekiti tawi la Sumbawanga),Mzee Kimiti (MB mstaafu),Mzee Nkoswe,Chief K
inyonto,Mzee Mbuye,Mama Mfupe, Mzee Kaozya,Mzee Lunyelele,Mzee Makaza,Mama Ntwenya,Mzee Matete,Mzee Maufi,Mwl Mwembwa,Mzee Mtuka,Mzee Mzurikwao,Mama John,Mzee Simbeye,Mzee Mwanandenje,Sheikhe Ally,Mzee Kazembe,Mzee Mpina,Mama Kalula,Zefrina Funga,Kitupi,Kifulo
Mzee Kazembe Akiwa kwene kongamano akichangia wazo la elimu Kwa mkoa wa Rukwa akilinganisha na alivokua  akifundisha China  


Mzee Mbuye katika Kongamano akichangia wazo kuhusu umiliki wa Ardhi kwa mkazi wa Rukwa 

pamoja na sekretariet yote ya JUMARU tawi la Sumbawanga na Taifa.ukiona tangazo hili mtalifu na mwenzako imeletwa kwenu na katibu JUMARU taifa BW. Maiko Sikazwe Kachoma 

1 comment:

  1. WADAU KUTOKA MIKOA NJE YA RUKWA WANASHIRIKISHWAJE?AU NININYI TU MULIO NDANI YA SWAX?MAANA KUNA WADAU WA ASILI YA RUKWA TUKO NJE HUKU !MNATUWEKA UPANDE UPI/

    ReplyDelete

regnard