Wednesday, 27 November 2013

Kongamano la WanaRukwa Tarehe 20-22 decemba 2013

Habari za kazi Mabibi na Mabwana!!!!!

Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha Wanarukwa na Wantanznia wengine wapenda Maendeleo katika kongamno muhimu la Wanarukwa litakalofanyima mwezi wa 12 mwaka huu. Kongamano hili linategemewa kuanza tarehe 20-22 .Maada kuu ni kujadili  mstakabali wa Maendeleo ya Mkoa wa Rukwa na Wanarukwa kijamii, (hasa afya ,elimu na kilimo ).

Mgeni Rasim ktk kongamano hili ni Mh Mizengo Peter Pinda (Waziri Mkuu Watanznia)
kongamano hili litajumuisha Maprofesa wote wa Mkoa wa Rukwa na Madaktari  wote wazawa wa Mkoa wa Rukwa ikiwa na pamoja na Prof Kauzeni, na Prof Kasimila hawa kapa chini
Prof Kauzeni akiwa katika kongamano laWanarukwa waishio DSM
Kongamano hili litafanyika katika Ukumbi wa St Maurus Chemchem, wito kwa NGO zote za Mkoa wa Rukwa , Vijiji vyote, Kata zote , Tarafa na Wilaya, pia na Wakulima na Wafugaji na Wavuvi, mnahitajika sana kwa mchango wenu
wa dhati katika siku hio. Ndugu mdau unaombwa kuthibitisha uwepo wako katika namba 0786083570/ 0757230097 au katika email ya rjumaru@yahoo.com usafirikutoka  DSM utatolewa kwa wasiojiweza karibuni sana wenu katika ujenzi wa mkoa wetu wa Rukwa .

No comments:

Post a Comment

regnard