Tuesday, 23 February 2016

PICHA ZAVIONGOZI KATIKA MKUTANO WA WANARUKWA NA KATAVI TAREHE 20/2/2016 DAR ES SALAAM.

WAZIRI MKUU AKISALIMIANA NA WANARUKWA  NA KATAVI KWA FURAHA YA HALI YA JUU

PICHANI ALIYESIMAMA NDIYO PRO. KASIMILA KULIA KWAKE NI MZEE MFUPE
RAISI WA JUMARU AKIWA AMESHIKANA MKONO NA WAZIRI MKUU 

WAZIRI MKUU MSTAFU MZEE WETU MH PINDA NA WAZIRRI MKUU AKIONGOZANA NA BWANA NCHINGA ARCARDO
RAISI WA JUMARU BIBI HELENA KHAMSIN NA BWANA NCHINGA OFISI KWA WAZIRI MKUU 


PICHA YA PAMOJA YA WAZIRI MKUU NA WANARUKWA NA KATAVI




No comments:

Post a Comment

regnard