Wednesday, 3 December 2014

TANGAZO KWA KAMATI TENDAJI WA JUMARU NA WANARUKWA WOTE

"JUMARU,Kwa Rukwa endelevu.Pamoja tunaweza".
     Jumamosi hii tumeitisha kikao cha wanajumaru 65 na baadhi ya wadau kwa ajili ya kujadili mpango kazi wa JUMARU kwa mwaka 2015 na zoezi la kwenda kupanda miti 300 eneo la Pito.Pia tumewaita watendaji wa vijiji vya Pito,Kipili na Muzi kama sehemu ya maeneo ambayo jumaru ilipata kwaajili ya uwekezaji .kikao hicho kimeitishwa pia  ili kushirikishana juu ya hatua tulipofikia katika mchakato wa chuo kikuu na ardhi ambayo wananchi walionyesha nia ya kutoa kwa JUMARU katika kuunga mkono agenda ya chuo kikuu.JUMARU haina mfadhiri zaidi ya michango ya wanachama wenyewe. 
imeletwa kwenu na 

Katibu
anaetoa maelezo kwa vitendo ndiye katibu wa jumaru taifa wakiwa betrehem center na na mwekezaji wa st Joseph (Muhindi) anayetaka kuanza chuo Kkoani mwetu Rukwa  wapili kulia ni Mwenyekti wa JUMARU mkoa wa Rukwa (Mzee E. kinunda )

No comments:

Post a Comment

regnard