Monday, 29 July 2013

AGIZO LA BWANA SANGU KWA WANA JUMARU VIJANA

Bwana sangu ni mwanarukwa ambaye ni mwanakemia wa tanzania makazi yake ni DSM alikutana na baadhi ya wanajumaru Dsm Ubungo Externala na kasema "vijana wangu mimi nimewaita hapa katika maongezi nikiwataka kuwaambia kua vijana kuweni na muwe wazalendo na kuipenda Rukwa na ndipo tutakapo uuona mwelekeo wa Rukwa yetu, someni katika historia Rukwa haijawahi kutekwa ,jaman wafipa TUNAUAMUZI ,ni wapole sana lakini tuajiamini na tunaakili katika maamuzi yetu, msidharau culture yetu mnapoenda ugenini msisahau nyumbani ! waheshimun wazazi unganeni pamoja wasomi na wasio wasomi pangeni mikakati thabiti fikeni mamuzi na wazee tuwaunge mkono , " BE CREATIVITY" acheni uoga Muda unaenda
angalia picha yake hapa
picha hii alikua katika kikao kilichoitishwa ma Prof Kauzeni mbele yake ni mama Nakalumbwe mhadhili UDSM anatoka kijiji cha Kianda mbele ni Prof Kasimila kushoto kwake ni mama kasitiko wa Maneja Wa NMB morogoro Road dar  posted by  0757230097