(Jukwaa la maendeleo mkoa wa Rukwa (JUMARU) mahsusi kwa ajili ya kutuunganisha wanarukwa wa ndani ya mkoa, nje ya mkoa na nje ya nchi katika kuunganisha nguvu zetu za hali na mali ili tuweze kuhamasisha na kuchangia katika jitihada za kuleta maendeleo ndani ya mkoa na wanarukwa kwa ujumla "Kwa Rukwa Endelevu, Pamoja Tunaweza."
Tuesday, 30 July 2013
TANGAZO LA MWENYEKITI SECRETARIATE JUMARU
LEO TH 30 JULY UKUMBI WA HABARI MAELEZO ,DSM. PROF BERNARD KASIMILA (MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI KUU YA WAHADHIRI WANARUKWA YA MCHAKATO WA KUANZISHA RUKWA UNIVERSITY - RUU) AKIWA NA MWENYEKITI WA SECRETARIATE YA JUMARU (MKURUGENZI MTENDAJI) BWANA SIKULUMBWE WATAONGEA NA WANAHABARI JUU YA RUU NA MALENGO MENGINE YA JUMARU NA KONGAMANO LA DSM TH 1 SEPT NA SWANGA MWEZ DECEMBER 2013N. ANGALIEN TV JION. RADIO NA MAGAZETI KESHO TUPATE FEEDBACK