Saturday, 3 August 2013

News

mwapolen mkwayi ! unakumbushwa kuhudhulia kikao cha kamati ya uongozi ya wazee wa JUMARU th 4 august jumapili sa nane mchana ukumbi wa TPSC kituo cha  akiba karibu na DIT. Sekretariati itaonesha Mikanda ya Video ya vikao vya kijiji swanga na kikao cha kamati ya Jumaru na mkuu wa Mkoa juu ya chuo kikuu Rukwa University, juu kuridhia mchakato wa ardhi ya isesa kwa main main cumpus.zingatia muda . limeletwa kwenu na mw/kiti wa seckretarite

No comments:

Post a Comment

regnard