Thursday, 1 August 2013

Tangazo Tangazo

kesho tarehe 2/8 wanasekretariate wote wa jumaru DSM kutakua na kikao katika Ukumbi wa landmark Hotel ubungo saa 17:00 kamili kufanya mandalizi ya kikao cha jumapili cha wazee wanarukwa waishio dsm wanaoandaa mchakato wa kongamano la wanarukwa,  utakae soma tangazo hili mtumie ujume mwenzako

No comments:

Post a Comment

regnard