UMOJA
WA WANAFUNZIWA VYUO VIKUU WANAOTOKEA MKOA WA RUKWA chini ya Jukwa Maendeleo Mkoa wa Rukwa (JUMARU), tunawatangazia na kuwakaribisha wanarukwa wote wa mji wa Sumbawangana Mkoa kuwa jumla na Wadau wote wa Maendeleo ndani ya Mkoa wa Rukwa kuhudhuria Mkutano wa WANAZUONI utakaofanyika siku ya jumamosi tarehe 07.09.2013 saanne asubuhi katika uwanja wa NELSON MANDELA MKABALA NA KANISA KUU
KATOLIKI JIMBO KUU LA SUMBAWANGA.
MADA KUU
;
1.
Maendeleo ya Mkoa wa Rukwa
( kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni) ,
2.
Maliasili na Rasilimali za kenafursazaajirakwavijana
3.
Mchakatowakuanzisha
Chuo KikuuRukwa (Rukwa University-RUU).
+255 756 281 200, + 255 712 619 250, +255 752 527 382, +255 786 627 191, +255 754 966 986.
Wako
Maiko KachomaSikazwe
KATIBU- JUMARU
No comments:
Post a Comment
regnard