Ndugu wanarukwa mnakumbushwa kuwa hakuna mabadiliko ya mkutano wa
wanarukwa, na zaidi tunazidi kwakaribisha wanarukwa wote walioko mikoa ya
DSM, MOROGORO na PWANI kuwa mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa
URAFIKI SOCIAL HALL (UBUNGO) siku ya jumapili kuanzia sa nne kamili tafadhali mtarifu na mwenzako utakapolisoma Tangazo hili
No comments:
Post a Comment
regnard