Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Mwanachama mpya wa JUMARU akisaini Kadi ya uanachama leo katika kongamano la Wanarukwa na wadau wa Maendeleo Mkoa wa Rukwa waishio DSM, MORO, TANGA, PWANI, wajumbe kutoka SUMBAWANGA na Mikoa mingine lilioandaliwa na JUKWAA LA MAENDELEO MKOA WA RUKWA (JUMARU)
Bw. Lwamba Noel ; akisaini kadi ya Uanachama JUMARU
|
Nice Pics!!
ReplyDelete