Habari za leo Watanzania wenzangu wapenada maendeleo ya taifa , leo tarehe 28/1/2014, Mwenyekti wa sekretariati ya JUMARU taifa Bibi Helena Khamsini ,ameongozana na Kamati ya wazee aliowateua siku kadhaa nyuma mara baada ya kupata ujumbe kwa Waziri Mkuu ndugu Mh Mizego Kayanza Pinda. Waziri Mkuu aliwaomba wana JUMARU kupeleka taarifa ya Kongamano na mipango inayoendelea katika mikakati ya Jukwaa ,lililo fanyika Sumbawanga mjini kipindi cha sikukuuu ikiwa yeye ndo alikua mgeni rasimi mlengwa .Aidha ziara hiyo inafanyika katikaUkumbi wa Magogoni Jijini Dar es Salaam .Wajumbe waliofuatana na Mwenyekiti huyo ni pamoja na Mh Paul kimiti Mbunge mstafu wa Sumbawanga, Prof .Kauzeni,Prof. Prof. Kasimila Mzee Sangu,na Mzee Mfupe. Sekretarieti ni Bw. Anatory, Bibi Redemptor,Bw. Malema na Bw Simsamba.
Mh. Paul Kimiti Katikati ,kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kalambo kulia kwake ni Bibi H.Khamsini |
No comments:
Post a Comment
regnard