Thursday, 18 February 2016

RATIBA YA MKUTANO MKUTANO MAALUM WA WANA RUKWA NA KATAVI DAR ES SALAAM.

Ifuatayo ni ratiba ya mkutano wa wanarukwa na katavi utakaofanyika  Februari 20/2/2016, Makumbusho ya Taifa,DSM

  •       

MUDA
TUKIO/ AGENDA
MHUSIKA
2:30-3:00
Kuwasili kamati ya maandalizi na watoa mada/Wajadilishaji
-      Agnes Robert
 Katibu wa kamati ya maandalizi
3:00-3:30
Kuwasili viongozi wakuu na Baraza la washauri wa JUMARU Taifa na viongozi wa URUKADA
-       Katibu wa kamati ya maandalizi
-       Sekretarieti ya JUMARU na URUKADA
3:30-3:45
Wageni waalikwa kuwasili na kuingia ukumbini
-    Kamati ya mapokezi
-    MC-Bw George Malema
3:45-4:00
Mgeni rasmi kuwasili
-    Bw. Arcado Nchinga
  Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi
-    Kamati ya mapokezi
4:00-4:20
Utambulisho wa wageni waalikwa na viongozi mbalimbali kwa mgeni rasmi
-    Bw. Arcado Nchinga

4:20-4:30
Neno la ukaribisho maalumu kwa mgeni rasmi
-    Mzee maalumu
 (Kigoda cha Lyamba Lya Mfipa)
4:30-4:40
Summary  ya mada/taarifa itakayowasilishwa toka mkoa wa Katavi
-    RC/RAS Katavi
4:40-4:50
Summary ya mada/taarifa itakayowaslishwa toka mkoa wa Rukwa
-    RC/RAS Rukwa
4:50-5:10
Risala kwa mgeni rasmi na ombi maalumu
-      Agnes Robert
    Katibu wa kamati ya maandalizi
5:10-6:10
Hotuba ya mgeni rasmi
-RC Katavi
-       Mgeni rasmi
6:10-6:30
Kutoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi na mgeni rasmi kuondoka
-       Bibi Helena Khamsini
Rais wa JUMARU Taifa
6:30-7:00
Taarifa/mada ya kiuchumi toka kwa Katibu tawala mkoa wa Katavi (mwaka 2000-2015) na mikakati kwa miaka 10 ijayo.
-       Katibu wa kamati
-       RC/RAS – Katavi
7:00-7:30
Taarifa ya kiuchumi toka kwa Katibu tawala mkoa wa Rukwa (mwaka 2000-2015) na mikakati kwa miaka 10 ijayo.
-       Katibu wa kamati
-       RC/RAS – Rukwa


7:30-8:30
 Mapumziko na wajumbe kubadilishana mawazo
-Kamati
-Wajumbe wote

8:30-10:30

Mjadala juu ya mada na maazimio
-Sekretarieti ya mada na uandishi wa maazimio
- Mr.Edward Mwandu
-Prof.Andrea Pembe
10:30-11:50
Mambo ya kiutamaduni kwa mwana Rukwa na Katavi (PONGEZI MAALUMU)
-       Kamati ya maandalizi
-       Wabunge wapya wote wa Rukwa na Katavi
-       Wakuu wa mikoa ya Rukwa na Katavi
-       Wabunge wa zamani (2000-2015)
11:50-11:20
Matangazo mbalimbali
-       Kamati ya maandalizi
-       Watendaji wa JUMARU na URUKADA
11:20 -
-Mengineyo kwa wana Rukwa na Katavi
-Burudani
-       Kamati
-       Waalikwa wote
  •   

No comments:

Post a Comment

regnard