Wednesday, 31 July 2013

Waandishi Wa Habari Na Wanajumaru DSM

Jana waandishi wa habar katika press conference Posta DSM, wamefurahishwa na Presentation ya Prof. Kasimila na mwyekiti wa Jumaru Bwana Joakim Anatory Sikilumbwe, mahojiano hayo ya anan kwa ana yalioambatana na vitendo kama ilivo katika link ya video hapa chini, Waandish wa habari wameahidi kuudhuria kongamano zote za Jumaru ikiwa ni pamoja na kongamano la tr 1/9/2013. DSM.
Mwenyekiti wa sekretariati ya jumaru akihojiana na Mwandishi wa habari ;picha na regnard

4 comments:

  1. tunafurahia kama wanarukwa tunaanza kuamka hongera Prof Kasimila na Bwana Joakim Anatory

    ReplyDelete
  2. i think this is just beginning, there is much more to come. its nice, mwanzo mzuri

    ReplyDelete
  3. this is just beginning, i think there is much more to come, saf sana.

    ReplyDelete
  4. aksante sana mwandisi tuungane pamoja tushikane mkono wanarukwa tuna hali mbaya si kiuchumi tu bali hataka katika elimu ndo usiseme

    ReplyDelete

regnard