Saturday, 18 July 2015

KIKAO CHA SEKRETARIATI YA JUMARU NA WAZAZI WA WANAFUNZI

leo katika hotel ya Betrehemu Center Sumbawanga , Katibu Mkuu wa JUMARU TAIFA aliitisha mkutano wa sekretariati ya JUMARU na wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika chuo cha St Joseph waliokwama kulipa ada ili kuwezesha kuendelea na masomo katika chuo hicho kwa kinachosemekana kwamba wazazi hao wameshindwa kuwalipia watoto wao ada. lengo mahususi ya mkao huo ni kushauriana nao jinsi gani ya kutatua tatizo hilo. kwa kilichojili katika kikao hicho wasiliana na uongozi wa JUMARU. 0757230097
Hawa ni baadhi ya Wazazi wa wanafunzi 

No comments:

Post a Comment

regnard